PUNDE KUINGIA MTAANI

MIALE SANAA GROUP KUJA NA FILAMU IITWAYO 990 WAMEKUFA TOKA IRINGA

ASANTE KWAKUTEMBELEA UKURASA WETU

PATA HABARI MBALIMBALI ZAFILAMU ZILIZOKO MTAANI NAZIJAZO HAPA

ASANTE KWAKUTEMBELEA UKURASA WETU

JISKIE HURU KUA NASI

ASANTE KWAKUTEMBELEA UKURASA WETU

UNGANA NASI HAPA KILA WAKATI

ASANTE KWAKUTEMBELEA UKURASA WETU

SANA NISEHEMU MUHIMU YAMAISHA YA MWANADAMU KILASIKU. UNGANA NASI HAPA KILA SIKU KUPATA HABARI MBALI MBALI ZASANAA

Sunday, December 15, 2013

msanii Leah Mhema a.k.a Betty arudi kuungana tena na miale sanaa group tokea alipokuwa anaumwa anasema anamshukulu mwenyez mungu kwa kumponya na kumpa nguvu tena na uzima wa kuungana tena na kundi lake hilo ambalo ni kwamuda mrefu hakuweza kuwanalo

 Betty ingawa nimeambiwa kiwango changu kimeshuka kutokana na muda mrefu sijaweza kufanya mazoezi naamini kuanzia sasa kiwango changu kitarudi nanitakuwa imala naninawashukulu wana miale walio kuwa wanakuja kuniona bila kumsahau mkurugenzi wangu pamoja na mlatibu wangu nawengine pia naomba mwalimu wangu khamis nurdin  anikazanie katika kunifundisha nami nitajitaidi kuwa makini kwa kile nacho fundishwa
SAMAHANI KWA USUMBUFU ULIO JITOKEZA WAKUTO ENDELEZA SIMLIZI YA STORI YA KHAMIS NURDIN KWANI MTANDAO ULIKUWA UNASUMBUA NA SASA UMEKAA VIZURI LEO TUNAENDELEA TULIPO ISHIA WIKI ILIYOPITA




Khamis nurdin aliishi kwa mama yake mkubwa hapo igawa huku mama yake mkubwa alie mleta aliludi rujewa khamis aliishi igawa kwa mama yake huyo mkubwa ambaye pia alikuwa anawatoto wawili mapacha ambao niwadogo kwa khamis majukumu ya kuwalea watoto hao aliachiwa khamis kiukweli ulikuwa nimtihani sana kwake kwani aligeuzwa kuwa mfanyakazi wandani hukuakiwa na umli mdogo sana khamis alilia sana wakati anaanza kutumikishwa kazi nailikuwa nimzigo kwake kwani alikua haelewi chochote alianza kutumikishwa kazi zandani kama kufagia kupiga deki kukosha vyombo kumwagilia miti kuchota maji kuwa safisha watoto kila wanapo jisaidia kwakila siku zinavyo zidi kwenda akawa anaambiwa aendeshamba kumwagilia na kulima vitunguu na karanga ikafikia kipindi akaambiwa aanze kuuza chenga za mchele barabarani nailikuwa nikawaida kupigwa fimbo na baba yake mkubwa mme wa mama yake mkubwa kila siku anapo rudi khamis hakuelewa kwanini anafanyiwa hivyo ilifikia kipindi mapacha hao wakifanya kosa anapigwa khamis wakiiba mboga au kitu chochote anashikwa khamis anafungwa majani mikononi anachomwa moto kunakipindi khamis alikataa kufanya kazi yeyote mlendani alijipa likizo akaambia hakuna kula kuanzia asubuhi hadi kesho yake atakapo amua kufanya kazi alichinjwa bata aliliwa huku khamis anaangalia hakuna alie muonea huruma khamis hakujali hilo alitoka kuelekea barabarani akakutana na mtoto kashika miambili ya noti katumwa kununua mafuta ya taa na maziwa ya mgando khamis alichua ilehela nakumnunulia maziwa yule mtoto hela nyingine akala maandazi mtoto kuludi kwa anaulizwa mafuta yapo wapi anashindwa kusema ikibidi achukuliwe hadi dukani alipo nunua kufika kuuliza kwa mwenye duka akaambiwa ukweli kuwa osama ndio alie mnunulia mtoto huyu maziwa na hela nyingine akala maandazi khamis alikuwa anaitwa osama jina lautani walilompa mtaani kutokana na utukutu wake basi walivyo ambiwa hivyo wakatoka hadi kwa kina osama (khamis) wakawakuta wazazi wake walezi wakawashtakia ikibadi ilipwe ile hela kidogo osama  (khamis) anaingia kiukweli alipigwa sana usiku ule alilala akiugulia maumivu alfajili akaamka nakwenda msikitini akaludi akafanya kazi zote akaenda shule kuludi mchana hakukuta chakula zaidi ya kukuta wamemuandalia mchele akauze akachukuwa akaondoka kwenda kuuza kiukweli alikuwa nimjanja sana alikuwa akiesabiwa lita zamchele anazo enda kuuza ila yeye kunauhuni alikuwa anaufanya katika lita ili apate nayeye hela ya kula alianza kumiliki hela akiwa mdogo sana naalikuwa nimtu mwenye bahati sana ya kuokota hela nakipindi hicho vitu kama maandazi pipi navingine vinauzwa shintano hakuna siku ambayo ilimuuma khamis kima siku aliyo ambiwa aende kumwagilia bustani na mama yake mkubwa aliambiwa akikuta maji mengi asimwagilie akikuta machache amwagilie ulivyo fika shamba akakuta maji mengi akaacha kumwagilia anapo ludi anakutana na mtoto wa baba yeke mkubwa mwingine katumwa kumfata anafika nyumbani mama yake mkubwa anamwambia lalachini piga pushapu na baba yake mkubwa akaenda kukata fimbo kwajili ya kumchapia khamis kama unavyo juwa mungu si asumani katika kukata fimbo alijikata katika mkono bila yeye kujijuwa kihasikwamba alijichimba katika mfupa nahakuweza kugundua chochote huku khamis akimuuliza mama yake mkubwa kwani nimekosa nini hadi nipigwe mama yake akamjibu nikwajili umeenda shamab khamis akasema lakini wewe ndie ulie niambia niende baba yake mkubwa akawa kashafika akaanza kumchapa khamis huku na yeye khamis akimuuomba mungu kiukweli fimbo zile haikumuuma hata moja baba yake mkubwa alishangaa kuona khamis halalamiki anavyo chapwa na akajikuta damu zina mtoka mkononi namfupa kulia katika mkono wake alitupa fimbo hapohapo nakwenda huspitili nini kitaendelea wiki ijayo......................
Rais wa Tanzania Dkt Jakaya kikwete leo akihutubia kwenye shughuli maalum ya mazishi ya Nelson Mandela huko qunnu, eastem cape afrika kusini. Rais kikwete amesema tanzania imepoteza rafiki mkubwa, Rais pia amewakumbusha uhusiano mkubwa uliopo kati ya tanzania na afrika kusini
hapa wakiwa wanausindikiza mwili wa Nelson mandela wakiwa tayali wamesha uwaga na kuuombea