Friday, February 7, 2014

tazama picha za uzinduzi wa kundi la Ruwaha sanaa group lililopo ndiuka mjini Iringa kundi hili limeanza kazi za sanaa hivi karibuni nawaliwe kulialika kundi la miale sanaa group na kumuomba mkurugenzi wa kundi la miale sanaa group kuwa mgeni rasmi 


mkurugenzi wa kundi la Ruwaha aliweza kumueleza mkurugenzi wa kundi la miale sanaa group kuwa wanaomba msaada wake katika kuwasaidia juu ya kuandaa filamu na kuwataftia wadau na kuwatngaza katika sehemu mbalimbali nakuweza kumueleza juu ya matatizo yanayo wakabili

Khamis Nurdin ambae ni mkurugenzi wa miale sanaa group alikubali kuwa saidia katika yale yote waliyoweza kuyasema nakuwa ahidi kuwatangaza katika vyombo vya habari nakuwasaidia katika kuwafundisha nakushilikiana nao katika kutengeneza filamu yao 


pichani hapa nikundi la Ruaha sanaa group wakiwa katika pozi

pichani ni viongozi wa Ruaha sanaa group na miale sanaa group

pichani ni mashabiki walio uzuria katika uzinduzi huo

pichani ni kundi la miale sanaa group

pichani ni wasanii wa Ruaha sanaa group wakiwa katika kuigiza

pichani kundi la Ruaha sanaa group

pichani ni viongozi wa kundi la Ruaha sanaa group wakiwa katika kuigiza

pichani ni vijana walio kua wakiigiza

pichani ni vijana wa kundi la Ruaha sanaa group wakiwa katika kuigiza

pichani ni mabinti wa kundi la Ruaha sanaa group wakiwa katika kuigiza

pichani ni vijana wa kundi la Ruaha wakiwa katika kuigiza

pichani ni vijana wa miale sanaa group na vijana wa Ruaha sanaa group katika picha ya pamoja

pichani ni kundi la vijana wa Ruaha sanaa group

mkurugenzi wa kundi la miale sanaa group bwana Khamis Nurdin akiwa na kundi la watoto ambao ni mashabiki wake

mkurugenzi wa kundi la miale sanaa group akiwa katika picha ya pamoja na uwongozi wa Ruaha sanaa group

pichani ni mkurugenzi wa kundi la Ruaha sanaa group akiwa na msanii wake katika picha ya pamoja

pichani ni msanii wa Ruaha sanaa group na msanii wa miale sanaa group

pichani ni wasanii wa Ruaha sanaa group katika picha ya pamoja

pichani ni madans wa kundi la Ruaha sanaa gruop

pichani ni kundi la madans wakiwa wanatoa burudani katika usindizi wa kundi la Ruaha sanaa group

pichani ni watoto waliopo katika kundi la Ruaha sanaa group

0 comments:

Post a Comment