PUNDE KUINGIA MTAANI

MIALE SANAA GROUP KUJA NA FILAMU IITWAYO 990 WAMEKUFA TOKA IRINGA

ASANTE KWAKUTEMBELEA UKURASA WETU

PATA HABARI MBALIMBALI ZAFILAMU ZILIZOKO MTAANI NAZIJAZO HAPA

ASANTE KWAKUTEMBELEA UKURASA WETU

JISKIE HURU KUA NASI

ASANTE KWAKUTEMBELEA UKURASA WETU

UNGANA NASI HAPA KILA WAKATI

ASANTE KWAKUTEMBELEA UKURASA WETU

SANA NISEHEMU MUHIMU YAMAISHA YA MWANADAMU KILASIKU. UNGANA NASI HAPA KILA SIKU KUPATA HABARI MBALI MBALI ZASANAA

Sunday, November 10, 2013

KIOTA ART PRODUCTIONS

Ni kampuni ya utayarishaji Filamu mkoani Iringa na Tanzania kwa ujumla inayopatikana mjini Iringa mkabala na soko kuu la Iringa.

Mbali na utayarishaji wa Filamu, Kiota inajisughulisha na Uongozaji wa filamu, uandishi wa script, Usimamizi wa mandhali na Sakafu pamoja na kufanya post Production kwa ujumla. 

Aidha Kiota inatoa huduma za upigaji picha katika shughuli mbalimbali kama vile arusi, kitchen part, kipaimara, misiba, makongamano, semina, mikutano na vikao mbalimbali. 

Pia tunapiga picha za passport size na huduma zote za Stationery kwa gharama nafuu. 

Wasiliana nasi kwa Simu namba:-
0754 439740
0715 439740 au
Email: shamkis@gmail.com 

Baadhi ya wasanii wa filamu mkoani Iringa wakitafakari wakati wa mazoezi yao katika moja ya kambi za mazoezi mkoani hapa. Tasnia ya filamu mkoani Iringa, bado inahitaji mapinduzi makubwa ili kufikia mafanikio