hatimae utata wa kutambishiana kati ya miale na watangazaji wa nuru fm umekatika leo
kutokana na watangazaji wa redio nuru kukubali kichapo cha magori 14 kwa 5 miale sanaa group kipindi cha kwanza iliweza kuifunga timu ya watangazaji wa redio nuru magori 7 kwa 3 nakipindi cha pili miale wakaongeza magori 9 ambayo mawili yalikataliwa nakubaki magori 7 na nuru kutupia tena magori 2 napicha hii ni wachezaji wakiwa wanjani katika wanja wa kisasa uliopo mtwivila mkoani Iringa
tumeweza kuongea na mkurugenzi wa kundi la miale sanaa group bwana Khamis Nurdin kuhusiana na furaha aliyonayo juu ya timu yake kushinda kiukweli alisema yeye hajafurahi sana kutokana na kuwafunga magori mengi timu pinzani kitondo hicho kimemuuma kwani yeye alijipanga vizuri na alikuwa hajisifii kuwafunga nuru wakati nuru walikua wanajisifia kuwa funga miale gori kumi nanuru wamesha cheza mechi tano na kushinda mechi tatu na mbili kufungwa ila miale ndio mechiyao ya kwanza lakini wameibuka naushindi mkubwa msikilize
Khamis Nurdin: kiukweli sijafurahi kabisa kuchukua huu ushindi kutokana na magori tulio yafunga miniliamini na cheza natimu nzuri kutokana na walivyokua wakisema kwamba watanifunga gori kumi nakudai kwamba wao ni wazoefu ila kumbe hamna kitu napia wamshukulu kipa wao walio mwingiza kwa mala yapili ameokea magori mengi sana bila yule kiukweli tunge wafunga hata magori 20 nahata hivyo sikuweza kuwachezesha wa sanii wangu wengine ila kiukweli sijapenda naona kama nimewaonea sana nuru ila kipawao ningekua naweza kumsajili kwangu ninge msajili itabidi nijapange kutafuta timu ilyo imala nijipime nao kiwango maana nuru siwezi kujisifia kuwa ninakiwango hapana siwezi kusema hivyo lazima nitafute timu yenye kiwango nicheze nao nikifunwa ndio ntakubali kuwa mimi bado kiwango