PUNDE KUINGIA MTAANI

MIALE SANAA GROUP KUJA NA FILAMU IITWAYO 990 WAMEKUFA TOKA IRINGA

ASANTE KWAKUTEMBELEA UKURASA WETU

PATA HABARI MBALIMBALI ZAFILAMU ZILIZOKO MTAANI NAZIJAZO HAPA

ASANTE KWAKUTEMBELEA UKURASA WETU

JISKIE HURU KUA NASI

ASANTE KWAKUTEMBELEA UKURASA WETU

UNGANA NASI HAPA KILA WAKATI

ASANTE KWAKUTEMBELEA UKURASA WETU

SANA NISEHEMU MUHIMU YAMAISHA YA MWANADAMU KILASIKU. UNGANA NASI HAPA KILA SIKU KUPATA HABARI MBALI MBALI ZASANAA

Saturday, November 2, 2013

Msanii Masanja wa Iringa leohi wameungana na Magumashi kwajili ya kupiga shoo kabambe vijijini msanii Masanja ambae nimtata katika kuigiza sauti tofauti tofauti  na iliompa umaarufu ni sauti ya Masanja na nyingine ya Kingwendu, msanii huyo anasema shoo hiyo itakuwa ni bamkubwa kutokana na maandalizi walio jipanga nayo  

Msanii Magumashi anaejulikana kuwa nimtata katika shilikisho la filam mkoa wa Iringa kila anapoonekana yeye katika kikao watu wote humtizama yeye kwani malanyingi hupingana na wenzie katika maamuzi, hivi karibuni wameungana na Masanja wa Iringa ambae huwa anaigiza sauti tofauti tofauti hasa iliompa umaarufu nisauti ya Masanja na nyingine ya Kingwendu, wamekubaliana kwa pamoja kupiga shoo kabambe  katika vijiji vyote mkoa wa Iringa