Wednesday, August 7, 2013

HABARI KWA UFUPI
Wakati shalashamla za iddy zikiendelea msanii wetu kipenzi NURDIN KHAMIS atakutanana msanii mkubwa kabisa DUDE na fedrick mwakalebela kwajili ya maongezi ya juu ya kumalizia kucheza filamu ya 990 wamekufa kaa mkao wa kula filam iko njiani
  picha hiyo jamaa nalo limoooooooooo kwenye "990 wamekufa"?

0 comments:

Post a Comment