Wednesday, November 27, 2013

CHEZEA PAKA WEWE? Jamaa alimchukua paka wake na kwenda kumtupa mbali aliporudi nyumbani alimkuta paka amekwisha rudi. jamaa alikasirika sana siku ya pili akamchukua na kwendanae zaidi ya kilometa 50 akapiga chochoro za kutosha kisha akamtupa akaanza safari ya kurudi nyumbani, baada ya muda akampiga simu mkewe, vipi mke wangu huyo paka yupo? MKE: Ndiyo mume wangu tena ametulia hapa kwani imekuwaje? JAMAA: hebu mpe simu anielekeze njia ya kurudi nimepotea.

0 comments:

Post a Comment