Sunday, November 10, 2013

KIOTA ART PRODUCTIONS

Ni kampuni ya utayarishaji Filamu mkoani Iringa na Tanzania kwa ujumla inayopatikana mjini Iringa mkabala na soko kuu la Iringa.

Mbali na utayarishaji wa Filamu, Kiota inajisughulisha na Uongozaji wa filamu, uandishi wa script, Usimamizi wa mandhali na Sakafu pamoja na kufanya post Production kwa ujumla. 

Aidha Kiota inatoa huduma za upigaji picha katika shughuli mbalimbali kama vile arusi, kitchen part, kipaimara, misiba, makongamano, semina, mikutano na vikao mbalimbali. 

Pia tunapiga picha za passport size na huduma zote za Stationery kwa gharama nafuu. 

Wasiliana nasi kwa Simu namba:-
0754 439740
0715 439740 au
Email: shamkis@gmail.com 

0 comments:

Post a Comment