PUNDE KUINGIA MTAANI

MIALE SANAA GROUP KUJA NA FILAMU IITWAYO 990 WAMEKUFA TOKA IRINGA

ASANTE KWAKUTEMBELEA UKURASA WETU

PATA HABARI MBALIMBALI ZAFILAMU ZILIZOKO MTAANI NAZIJAZO HAPA

ASANTE KWAKUTEMBELEA UKURASA WETU

JISKIE HURU KUA NASI

ASANTE KWAKUTEMBELEA UKURASA WETU

UNGANA NASI HAPA KILA WAKATI

ASANTE KWAKUTEMBELEA UKURASA WETU

SANA NISEHEMU MUHIMU YAMAISHA YA MWANADAMU KILASIKU. UNGANA NASI HAPA KILA SIKU KUPATA HABARI MBALI MBALI ZASANAA

Sunday, January 5, 2014



WASANII HAWA NDIO WALIO FANYA VIZURI SANA KATIKA FILAMU YA 
"ZERO DONE" NA HIZI PICHA ZOTE NI KATIKA VIPANDE VYA KWENYE FILAMU YA ZERO DONE


KANNI LUFILILI akiwa katika scene

SAIMON MWAPAGATA akiwa katika scene

KANNI LUFFILILI akiwa katika scene

YUSUFU KAIMU NA ULLY MWALULESA picha ya kasha

KHAMIS NURDIN picha ya kasha

KANNI LUFILILI akiwa katika scene

DENIS MLOWE NA KHAMIS NURDIN wakiwa katika scene

HALIMA MADIWA NA KHAMIS NURDIN wakiwa katika scene

KHAMIS NURDIN akiwa katika scene

DENIS MLOWE akiwa katika scene

SAIMON MWAPAGATA NA HALIMA MADIWA wakiwa katika scene

HALIMA MADIWA akiwa katika scene 

HALIMA MADIWA akiwa katika scene

KANNI LUFILILI NA KHAMIS NURDIN wakiwa katika scene

HALIMA MADIWA akiwa katika scene

YUSUFU KAIMU NA ULLY MWALULESA  wakiwa katika scene

KHAMIS NURDIN NA YUSUFU KAIMU, ULLY MWALULESA wakiwa katika scene

KHAMIS NURDIN


Wednesday, January 1, 2014

hii nipicha ya waziri wa fetha ambae pia ni mbunge wa jimbo la karenga Wiliam Mgimwa afariki dunia hivi leo mwenyezi mungu au laze mwili wake salama kwani mbele yake nyuma yetu pole ziwafikie  familia ya waziri mgimwa pamoja na viongozi wenzie wote

BREAKING NEWS: Waziri wa fetha Wiliam Mgimwa amefariki dunia leo katika huspitali ya Mediclinic kloff nchini afrika kusini alipokuwa akitibiwa. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na katibu mkuu kiongozi Ombeni Sefue, ambaye amesema Mgimwa amefariki majira ya saa 5:20 saa za afrika kusini ambapo ni sawa na saa 6:20 majira ya Tanzania

Thursday, December 26, 2013


Saturday, December 21, 2013

Baazi ya wasanii wa miale sanaa group wakiwa katika picha ya pamoja wakati wakiwa mazoezini

kasimu limbaula na joseph haule wakiwa katika scene

Mkurugenzi wa mialesanaagroup.blogspot.com Khamis Nurdin katika picha ya pamoja na katibu wa uvccm mkoa wa iringa

Azizi Risasi katika picha ya pamoja na katibu uvccm mkoa wa iringa

Obedi katika picha ya pamoja na mtoto mariamu azizi na fatuma khamis wakiwa wanaondoka kurudi numbani baada ya kumaliza mazoezi

Sunday, December 15, 2013

msanii Leah Mhema a.k.a Betty arudi kuungana tena na miale sanaa group tokea alipokuwa anaumwa anasema anamshukulu mwenyez mungu kwa kumponya na kumpa nguvu tena na uzima wa kuungana tena na kundi lake hilo ambalo ni kwamuda mrefu hakuweza kuwanalo

 Betty ingawa nimeambiwa kiwango changu kimeshuka kutokana na muda mrefu sijaweza kufanya mazoezi naamini kuanzia sasa kiwango changu kitarudi nanitakuwa imala naninawashukulu wana miale walio kuwa wanakuja kuniona bila kumsahau mkurugenzi wangu pamoja na mlatibu wangu nawengine pia naomba mwalimu wangu khamis nurdin  anikazanie katika kunifundisha nami nitajitaidi kuwa makini kwa kile nacho fundishwa
SAMAHANI KWA USUMBUFU ULIO JITOKEZA WAKUTO ENDELEZA SIMLIZI YA STORI YA KHAMIS NURDIN KWANI MTANDAO ULIKUWA UNASUMBUA NA SASA UMEKAA VIZURI LEO TUNAENDELEA TULIPO ISHIA WIKI ILIYOPITA




Khamis nurdin aliishi kwa mama yake mkubwa hapo igawa huku mama yake mkubwa alie mleta aliludi rujewa khamis aliishi igawa kwa mama yake huyo mkubwa ambaye pia alikuwa anawatoto wawili mapacha ambao niwadogo kwa khamis majukumu ya kuwalea watoto hao aliachiwa khamis kiukweli ulikuwa nimtihani sana kwake kwani aligeuzwa kuwa mfanyakazi wandani hukuakiwa na umli mdogo sana khamis alilia sana wakati anaanza kutumikishwa kazi nailikuwa nimzigo kwake kwani alikua haelewi chochote alianza kutumikishwa kazi zandani kama kufagia kupiga deki kukosha vyombo kumwagilia miti kuchota maji kuwa safisha watoto kila wanapo jisaidia kwakila siku zinavyo zidi kwenda akawa anaambiwa aendeshamba kumwagilia na kulima vitunguu na karanga ikafikia kipindi akaambiwa aanze kuuza chenga za mchele barabarani nailikuwa nikawaida kupigwa fimbo na baba yake mkubwa mme wa mama yake mkubwa kila siku anapo rudi khamis hakuelewa kwanini anafanyiwa hivyo ilifikia kipindi mapacha hao wakifanya kosa anapigwa khamis wakiiba mboga au kitu chochote anashikwa khamis anafungwa majani mikononi anachomwa moto kunakipindi khamis alikataa kufanya kazi yeyote mlendani alijipa likizo akaambia hakuna kula kuanzia asubuhi hadi kesho yake atakapo amua kufanya kazi alichinjwa bata aliliwa huku khamis anaangalia hakuna alie muonea huruma khamis hakujali hilo alitoka kuelekea barabarani akakutana na mtoto kashika miambili ya noti katumwa kununua mafuta ya taa na maziwa ya mgando khamis alichua ilehela nakumnunulia maziwa yule mtoto hela nyingine akala maandazi mtoto kuludi kwa anaulizwa mafuta yapo wapi anashindwa kusema ikibidi achukuliwe hadi dukani alipo nunua kufika kuuliza kwa mwenye duka akaambiwa ukweli kuwa osama ndio alie mnunulia mtoto huyu maziwa na hela nyingine akala maandazi khamis alikuwa anaitwa osama jina lautani walilompa mtaani kutokana na utukutu wake basi walivyo ambiwa hivyo wakatoka hadi kwa kina osama (khamis) wakawakuta wazazi wake walezi wakawashtakia ikibadi ilipwe ile hela kidogo osama  (khamis) anaingia kiukweli alipigwa sana usiku ule alilala akiugulia maumivu alfajili akaamka nakwenda msikitini akaludi akafanya kazi zote akaenda shule kuludi mchana hakukuta chakula zaidi ya kukuta wamemuandalia mchele akauze akachukuwa akaondoka kwenda kuuza kiukweli alikuwa nimjanja sana alikuwa akiesabiwa lita zamchele anazo enda kuuza ila yeye kunauhuni alikuwa anaufanya katika lita ili apate nayeye hela ya kula alianza kumiliki hela akiwa mdogo sana naalikuwa nimtu mwenye bahati sana ya kuokota hela nakipindi hicho vitu kama maandazi pipi navingine vinauzwa shintano hakuna siku ambayo ilimuuma khamis kima siku aliyo ambiwa aende kumwagilia bustani na mama yake mkubwa aliambiwa akikuta maji mengi asimwagilie akikuta machache amwagilie ulivyo fika shamba akakuta maji mengi akaacha kumwagilia anapo ludi anakutana na mtoto wa baba yeke mkubwa mwingine katumwa kumfata anafika nyumbani mama yake mkubwa anamwambia lalachini piga pushapu na baba yake mkubwa akaenda kukata fimbo kwajili ya kumchapia khamis kama unavyo juwa mungu si asumani katika kukata fimbo alijikata katika mkono bila yeye kujijuwa kihasikwamba alijichimba katika mfupa nahakuweza kugundua chochote huku khamis akimuuliza mama yake mkubwa kwani nimekosa nini hadi nipigwe mama yake akamjibu nikwajili umeenda shamab khamis akasema lakini wewe ndie ulie niambia niende baba yake mkubwa akawa kashafika akaanza kumchapa khamis huku na yeye khamis akimuuomba mungu kiukweli fimbo zile haikumuuma hata moja baba yake mkubwa alishangaa kuona khamis halalamiki anavyo chapwa na akajikuta damu zina mtoka mkononi namfupa kulia katika mkono wake alitupa fimbo hapohapo nakwenda huspitili nini kitaendelea wiki ijayo......................