PUNDE KUINGIA MTAANI

MIALE SANAA GROUP KUJA NA FILAMU IITWAYO 990 WAMEKUFA TOKA IRINGA

ASANTE KWAKUTEMBELEA UKURASA WETU

PATA HABARI MBALIMBALI ZAFILAMU ZILIZOKO MTAANI NAZIJAZO HAPA

ASANTE KWAKUTEMBELEA UKURASA WETU

JISKIE HURU KUA NASI

ASANTE KWAKUTEMBELEA UKURASA WETU

UNGANA NASI HAPA KILA WAKATI

ASANTE KWAKUTEMBELEA UKURASA WETU

SANA NISEHEMU MUHIMU YAMAISHA YA MWANADAMU KILASIKU. UNGANA NASI HAPA KILA SIKU KUPATA HABARI MBALI MBALI ZASANAA

Thursday, September 12, 2013

hii ninfilam yetu ya kwanza miale sanaa group inaitwa ZERO DONE yupo pembe, senga, kapto lado, pacho mwamba, khamis nurdin na wengine wengi

Tuesday, September 10, 2013

msanii mariam azizi akiwa katika picha ya pamoja na kulwa kikumba halimaarufu dude au yahaya wakiwa rokesheni kushuti filam ya 990 WAMEKUFA
mkurugenzi wa miale sanaa group khamisi nurdin akiwa na kulwa kikumba halimaarufu kama dude au yahaya wakiwa katika picha ya pamoja wakati wanashuti filam ya 990 WAMEKUFA

Saturday, August 31, 2013

MIALE SANAA :

Friday, August 30, 2013





Khamis Nurdin akiwa na Timoti John, Diana na Mzee Jengua katika picha ya pamoja wakati wakishuti filam ya 990 WAMEKUFA Mjini kibaha

Friday, August 9, 2013

IDD MUBARAKA NDUGUZA NGUNI
Leo msanii wetu Nurdin Khamis na Timo John wanaenda kushelekea idd kwa director wao kipenzi Salum Takadir
Waone kwenye picha hii wakati walipo kuwa kazini

Wednesday, August 7, 2013

HABARI KWA UFUPI
Wakati shalashamla za iddy zikiendelea msanii wetu kipenzi NURDIN KHAMIS atakutanana msanii mkubwa kabisa DUDE na fedrick mwakalebela kwajili ya maongezi ya juu ya kumalizia kucheza filamu ya 990 wamekufa kaa mkao wa kula filam iko njiani
  picha hiyo jamaa nalo limoooooooooo kwenye "990 wamekufa"?