PUNDE KUINGIA MTAANI

MIALE SANAA GROUP KUJA NA FILAMU IITWAYO 990 WAMEKUFA TOKA IRINGA

ASANTE KWAKUTEMBELEA UKURASA WETU

PATA HABARI MBALIMBALI ZAFILAMU ZILIZOKO MTAANI NAZIJAZO HAPA

ASANTE KWAKUTEMBELEA UKURASA WETU

JISKIE HURU KUA NASI

ASANTE KWAKUTEMBELEA UKURASA WETU

UNGANA NASI HAPA KILA WAKATI

ASANTE KWAKUTEMBELEA UKURASA WETU

SANA NISEHEMU MUHIMU YAMAISHA YA MWANADAMU KILASIKU. UNGANA NASI HAPA KILA SIKU KUPATA HABARI MBALI MBALI ZASANAA

Wednesday, October 30, 2013


Tumuombeeni duwa kwa wale tunao guswa juu ya kesi yake kiukweli inauma sana ngoja tuone kesho itakavyo kuwa tena.


Tuesday, October 29, 2013

Rozi ni binti anaeishi na bibi yake mtaa wa mwangata mkoani Iringa leo hii amekutana na mlatibu wa kikundi cha Miale sanaa Group Timoti John katika mtaa wa gangilonga nakuanza kumwelezea shida yake kuwa anaitaji kujiunga na kikundi cha Miale sanaa Group nakudai kwamba kilicho mfanya ajiunge nikutokana na kushawishika na filamu iliyo tolewa na kikundi hicho inayokwenda kwajina la Zero Done nakusema kwamba yeye anakipaji ila ilikuwa hajuwi aanzie wapi ila aliposikia mahojiano katika rodio ambapo Khamis Nurdin mkurugenzi wa kikundi cha Miale sanaa Group alipotoa ruksa ya watu kujiunga nayeye ndio akakitafuta kikundi kilipo nakujalibu kukutana na viongozi anasema haamini kama leo kakutana na viongozi hao nakisha akaelezea historia yake kwa kifupi kuwa yeye nimtoto wa mwisho katika famila ya watoto nane ila watano wamefaliki katika njia ya kutatanisha Rozi katika kipengele hichi aliongea kwauzuni sana alisema kwamba ndugu zake walianza kupukutika baada ya baba yao kupotezwa na mjomba yao kisha na wao wakaanza kupotea mmojammoja ingawa walikuwa wamechangia mama ila ilimuuma sana imani ya kishilikina ndio iliyo wapoteza ndugu zake nakudai kwamba yeye hadi sasa ham,juwi baba yake mzazi huwa anasimuliwa kuwa baba yake alipotea katika njia za utata Timoti John alimuuliza juu ya elimu yake Rozi akadai ameishia la saba naalishindwa kuendelea na masomo kutokana na hali ya maisha kuwa ngumu yeye na bibi yake kwani mama yake alifariki pia, ndipo Timoti John alipo amuwa kumtafuta Khamis Nurdin kumweleza juu ya kumsaidia Rozi nakumfata kwapamoja alipo

Timoti John akimsikiliza kwa umakini sana Rozi nakumwambia asijari atasaidiwa ngoja wa mfate Khamis Nurdin ili wamweleze hili

Khamis Nurdin akiwa anawasubiri Timoti John na Rozi katika gari la dada yake aitwae mwasiti

Khamis Nurdin akiwa anamsikiliza Rozi kwa umakini  baada ya kufika Rozi alimweleza Khamis pia juu ya shida yake nakusema anaomba asaidiwe juu ya sanaa na pia anafani ya ufundi cheleani anaomba apate mtu wa kumsaidia mashine ya cheleani ili ajiajili kupitia mashine hiyo Khamis Nurdin ambae ni Mkurugenzi wa kikundi cha Miale sanaa Group alimkubalia kujiunga na kikundi hicho na kumwahidi kumsaidia katika sanaa 

Rozi akimshukuru Timoti John kwa kukubaliwa kujiunga na kikundi hicho

Khamis Nurdin akijipiga picha yeye na Rozi baada ya kumaliza maongezi

Monday, October 28, 2013

huyu ni mtoto wa khamisi nurdin anaitwa dadrahamani khamis r nurdin nimtoto wake wakwanza

steven kalinga akiwa nyuma ya kijana wa mapambo kushoto akiwa yassin alafati wakipamba ukumbi

vaileti akikata kachumbali kulia kwake jeska akimenya viazi pamoja na blandina katika harusi ya mussa chunga

khamis nurdin na yassin alafati na steven kalinga wanakoga kujiandaa kwenda kwenye harus na wao ndio wanakamati wa harusi ya mussa chunga

blandina na wenzio wakigeoza pilau la harusi ya mussa chunga

khamis nurdin akikaangiza mboga ya kwenye harusi mussa chunga

malidadi neto akiwa na daudi masasi ambaye ni mwenyekiti wa shilikisho la wa sanii mkoa wa iringa wakicheza kwa pamoja katika harisi ya mussa chunga wakati wanamsubiri mussa chunga kuwasili nyumbani kwao 

mussa chunga akiwa ndio anawasili kutoka iringa mjin kufika nyumbani kwao msosa yupo na mkewe katika gari

khamis nurdin akiwa na mdogo wake zarina nurdin katika gradu ya 4m4 khamis nurdin akimlisha keki  

zarina nurdin akimlisha keki kaka yake khamis nurdin katika gradu ya 4m4

amasha rafiki wa khamis nurdin akimlisha keki cathelin katika gradu ya 4m4

khamis nurdin wakilishana keki na khabiba

 khamis nurdin na khabiba katika poz