mkurugenzi wa miale sanaa group Khamis Nurdin amfukuza kwenye kikundi msanii wake Junior mwaipopo kutokana na utovu wa nizamu Khamis Nurdin alisema ingawa kipaji cha msanii huyo yeye ndie alie kiona na kumchukua na kuanza kumtengeneza katika sanaa nakufanikiwa kumshilikisha katika filamu ya kwanza ambayo ndiyo iliyo mtambulisha msanii huyo filamu hiyo inaitwa "ZERO DONE" ambayo iliwashilikisha wasanii kama pembe, senga, pacho mwamba, kampto rado na wengine wengi khamis anasema baada ya kutoka filamu hiyo kijana hoyo kaanza kubadilika siku hadi siku akiitwa kufanya mazoezi hafiki kwa wakati anafika anvyo taka yeye naamekua mchonganishi kati ya wasanii na mkurugenzi wa kikundi aliweza kuwaeleza wasanii kuwa khamis nurdin ambae nimkurugenz wa kundi kuwa alienda bungeni akachangiwa pesa na viongozi wote wa bungeni kitu ambacho si chakweli Khamis anasema kijanahuyo ingawa alimuahidi kumsaidia katika sanaa sasa ahadi hiyo anaivunja nakusema hawezi kumsaidia tena kwani kutokana na zarau zake zakujiona yeye staa zimemponza hata kuboronga katika filamu mpya inayo kwenda kwa jina la "990 WAMEKUFA" khamis nurdin amemaliza na kusema hatuitaji msamaha wowote kutoka kwa msanii huyo na kuwa sihi wa sanii wengine wenye tabia kama hiyo achanenayo kwani haiwezi kuwafikisha mbali kisanaa.
0 comments:
Post a Comment