Friday, November 29, 2013

Vichaa walipewa vipande vya  sabuni wakaambiwa kila m1 ampigie mchumba wake, wakaanza kupiganakuongea mmoja akawa amekaa kimya anawaangalia wenzake Doctar akajuwa ameshapona akamuuliza. Doctar: we mbona huongei? Kichaa: Nasubiri saa 4 ifike nijiunge na cheka bombastk. Doctar hoi

0 comments:

Post a Comment