![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhYj2UhVIWbmJOhS3SijScEzZYl1bHXfhz4TcRWQOfgVydc_LZv4H7DxklTwwDynEo9VyLnOtfK3IKe_AP-yMBs6btJs1jkYo54pA0DFbaINLtj3_hXkzsjKqtKQoPt6f68wao1QEp0Ndt2/s320/Amasha.jpg)
Amasha LOrence arudi kwenye gem kimyakimya msanii Amasha hivi karibuni ameanza maandalizi ya kutengeneza filam akishilikiana na swahiba wake kipenzi Khamis Nurdin hivi sasa wapo porini na wasanii wakifanya mazoezi ya filam hiyo Amasha anasema kwamba mashabiki wajiandae kuipokea filam hiyo ambayo itakua ni yakutisha na ndiomana wanaifanyia porini na ametoa sababu ya kumchukua swahiba wake katika filam hiyo nakumuomba kushilikiana nae kwani Khamis Nurdin nimzoefu wa filam za kutisha kwahiyo hajutii kumchukuwa na anaimani itakuwa nzuri sana kazi hiyo
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg-jSEQeVBYRTiSUcdvoUQIxaiaRJOf7fs83Q46BfGNzHwVIbi7G3-7k1fqYTkWfBmuUhaRdS7_qeNtyZF-AveOQLGwdHQxkd_mTIXQ9bwVWhaN8j_7cVEXITlOb4NpzAcLHxWAkxdRj9sJ/s320/lv02.bmp)
Rems John yupo katika zoezi anacheza kama zombi katika filam hiyo. hizi nipicha zamazoezi jamani filam bado hawajaanza kushuti
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgwKxUFMl2Zxjr_CtJo_pT0p50wI8VNlIMrTOkzLf3cChiRQCNom7HIasqDSudgeTcedraj4HiCpUJyKiqu7S_gVkxD6qkYOemuwJrNjr1MEz7oXP5sgN6nnhZU9Mxl4xBvydpXGreKTUH4/s320/lv22.bmp)
msanii Anna akiwa katika zoezi kacheza kama kufa. Inatisha ilembaya kama mazoezitu..... yapo hivi hiyo filam itakuaje
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgewB0Yu2BIQSdjFmNYQi2kas208GWESVpk5iebiyQ6R2xG9M2VbMaesxUU2dQ4h79tvUzY0bZ0zK09FJUCmofRAMsf1uOzhmH8o9xNLpEGXKeUyLfDsrM-8OkaTV9x_qwpbio6f16kEipV/s320/lv27.bmp)
Khamis Nurdin akiwa na Lea Mhema wakiwa katika zoezi
0 comments:
Post a Comment