Saturday, November 2, 2013

Msanii Magumashi anaejulikana kuwa nimtata katika shilikisho la filam mkoa wa Iringa kila anapoonekana yeye katika kikao watu wote humtizama yeye kwani malanyingi hupingana na wenzie katika maamuzi, hivi karibuni wameungana na Masanja wa Iringa ambae huwa anaigiza sauti tofauti tofauti hasa iliompa umaarufu nisauti ya Masanja na nyingine ya Kingwendu, wamekubaliana kwa pamoja kupiga shoo kabambe  katika vijiji vyote mkoa wa Iringa 

0 comments:

Post a Comment