Monday, November 4, 2013

Eddo Bashil mtangazaji wa redio Ebony  hivi karibuni arudi kazini na kwasasa yupo makambako katika shoo za mtikisiko Eddo apokolewa kwa shangwe na mashabiki wake wa makambako na njombe Eddo anasema haamini kilichotokea makambako hakutegemea kama angepokelewa namnahiyo Eddo pichani akitoa mkono kumpa shabiki wake alie vaa kofia yenye rangi nyeupe na nyeusi Eddo anasema hana chakuwalipa mashabiki hawo mwenyez mungu pekee ndie atakae walipa Eddo kamaliza nakusema kuwa atajitaidi kadri ya uwezo wake kuwalizisha mashabiki wake katika kazi namwisho anamshukulu mwenyez mungu kwa yote yaliyo tokea

0 comments:

Post a Comment