Saturday, November 30, 2013

Ccm  yajizolea wanachama 100 pamoja na katibu wa chadema wilaya ya chunya mkoani mbeya ambae pichani ikionyesha kadi ya chadema katibu huyo anae julikana kwajina la Bryson mwasimba kushoto abdurahman kinana ambae ni katibu mkuu wa ccm katibu wa chadema bwana Bryson Mwasimba asama anawaomba msamaha wananchi wote alio wadanganya wakati akiwa katika madaraka yake katika chama cha chadema asema anajuta kukitumikia chadema nasasa hataungana tena na chadema na badala yake kuingia ccm katibu huyo anasema anajiona yupo huru sasa ilivyoingia ccm 

0 comments:

Post a Comment