Saturday, November 30, 2013

Historia ya Khamis Nurdin
Khamis Nurdin ni mtoto wa wakwanza upande wa kwa mama yake ambao wapo wawili yeye na mdogo wake yassin na upande wa baba yake yeye ni wakwanza pia ambapo nako kuna wadpgozake 4 Khamis Nurdin amezaliwa rujewa wilaya ya mbalali mkoani mbeya mama yake nimarehemu sasa alifariki akimuacha Khamis akiwa na miaka mitatu na nusu na yassin aliachwa akiwa na mwezi mmoja, mama yake khamis aitwae sauda shaban khamis akiwa hamjuwi baba yake kwani baba yake khamis alimtelekeza mama yake khamis tangu akiwa na ujauzito wa khamis ndipo alipoamua kumsingizia baba mwingine amabae alijitokeza kuwa na mahusiano nae alipo kuja kujifungua ulitokea utata mkubwa sana kati ya mama yake mkubwa wa khamis na mama yake mzazi wa khamis na huyo baba feki wa khamis kwani baba huyo alisema khamis nimwanae huku mama yake mkubwa wa khamis akisema huyo mtoto sio wako kwani hata hafanani nae mama wa khamis alibaki kimya huku akizidi kubugujikwa machozi kwajinsi roho inavyo muuma kwa kumuuza mwanae kwa mtu mwingine baba huyo alifaulu kumchukua khamis na kwenda nae kwake kutokana na mama yake kukubali kua mtoto huyo ni wake mama yake mkubwa wa khamis aliuzunika sana lakini hakuubaliana na lililo tokea akapanga blani ya kwenda kumkomboa khamis wakatihuo mama yake khamis aliamua kuondoka na kwenda mbeya mjini ili kuondoa mawazo aliyo nayo,  huku mama yake mkubwa wa khamis akiendelea kifanya michakato ya kumtorosha khamis kutoka kwa yule baba aliweza kufanikiwa kumpata khamis nakumchukuwa kutokana na khamis kuwa mtundu sana alikuwa akifungiwa ndani malakwamala lakini kutokana na utundu wa khamis walishindwa kumzibiti na akachukuliwa na mama yake mkubwa nakupelekwa sehemu nyingine ambapo napo ni kwa mama yake mkubwa mwingine alie kuwa akiishi igawa mkoa wa mbeya,nini kiliendelea khamis alivyo pelekwa igawa..................fatalia jumapili ijayo



0 comments:

Post a Comment