Sunday, December 1, 2013

Wanafunzi washule ya msingi ya wiloles pichani wamebeba bango lenye kuimiza kunywa maziwa mashuleni, maziwa ya asass nimaziwa bola nandio yanayo uzika zaidi katika mkoa wa iringa na mikoa mingine maziwa hayo yalipewa kipaombele katika shule nyingi za mkoani iringa

0 comments:

Post a Comment