Sunday, December 1, 2013

R.I.P Msanii Poul Wlker mcheza cinema maarufu alie cheza cinema ya "fast furious" ambae katimiza miaka 40 mwezi wa 9 mwaka 2013 kafariki kwa ajali ya gari yeye na rafiki yake wakiwa katika mashindano, mwendo kasi mtaani huko calfornia marekani.



0 comments:

Post a Comment