PUNDE KUINGIA MTAANI

MIALE SANAA GROUP KUJA NA FILAMU IITWAYO 990 WAMEKUFA TOKA IRINGA

ASANTE KWAKUTEMBELEA UKURASA WETU

PATA HABARI MBALIMBALI ZAFILAMU ZILIZOKO MTAANI NAZIJAZO HAPA

ASANTE KWAKUTEMBELEA UKURASA WETU

JISKIE HURU KUA NASI

ASANTE KWAKUTEMBELEA UKURASA WETU

UNGANA NASI HAPA KILA WAKATI

ASANTE KWAKUTEMBELEA UKURASA WETU

SANA NISEHEMU MUHIMU YAMAISHA YA MWANADAMU KILASIKU. UNGANA NASI HAPA KILA SIKU KUPATA HABARI MBALI MBALI ZASANAA

Tuesday, January 21, 2014


"AFRISWIM BUILDING AND SERVICES" Ni kampuni inayo jishughulisha na utengenezaji wa ma swimin pool hapa tanzania na nje ya tanzania ofisi zake zipo huspitali ya mwananyamala kwa nyuma kampunihii inatengeneza ma swimin pool na kuya fanyia services katika utengeneza wa ma swimin pool huwa wanakuwa nalamani zao ambazo wana zidizaini kutokana na nyumba yako au eneo lako unalo taka wakutengenezee nahata kama una lamani yako wanaipokea pia na wanafanya kazi pia huwa wanafanya services katika majumba na hata maotel pia, tazama baazi ya picha za swimin pool walizo zitengeneza hapa chini unaweza kuwasiliana nao kwa namba hizi kibiashala 0713313958/ 0789235304  


 hawa ni vijana wa kazi wa kampuni ya Afriswim niwakati wanaanza kuchimba

wakiwa bado wanaendelea na kazi

kazi bado inaendelea

akiwa anakaribia kumaliza kuchimba

hapa ndio tayari wamesha weka dude lenyewe ambalo ndani yake kuta kua na maji

likiwa linaendelea kudizainiwa

bado linaendelea kutengenezwa

vijana wakiwa wametoka kula nawamerudi kuendelea na kazi

hapa bomba inapimwa kuingiza maji 

 hapa ndio kitamba kinawekwa

hapa wanajaribu kuweka maji

maji yakiendelea kujaa

hapa maji yakiwa bado hayaja jaa

hapa maji bado yanajazwa

bado maji yana jazwa

hapa tayari yamejaa

wakisuburi kutoa uchafu uliopo ndani ya maji

hapa likiwa tayari limetolewa uchafu

hapa wameenda kumzika ili waje waendelee na kazi

bado wakiwa hawajafika kuendelea nakazi

hapa jamaa akijiandaa kutoa uchafu ndani ya maji

hapa akiwa anamalizia kutoa uchafu huku mwingine akiendelea kulijazia udongo

hapa akiwa kalimaliza kulitoa uchafu

hapa akiwa analisafisha kwa chini ya ndani ya maji

hapa likiwa tayari limekamirika niusiku wameliwekea taa ndani ya maji

hapa wakiwa ndio wanalitiza walilo dizaini

hapa likiwa tayali awamu yakwanza tayari

hapa bado halijakamilika wanarudi kuendelea nakazi

hili likiwa tayari limesha tengenezwa 

likiwa katika kufanyiwa services

nibaazi ya vifaa vimewekwa kwajili ya kufanyia servuces

hapa ni mkurugenzi wa Afriswim  akiandaa vifaa vya kazi

hapa akiwa anaendelea nakazi

hapa akiwa anamwagia dawa ya kuua vijidudu katika maji

hapa tayari limesha fanyiwa services

hapa likiwa bado halija fanyiwa services

hapa ni awamu ya kwanza ikiwa imekamirika kutengeneza swimin

 hapa tayari limekwisha


Sunday, January 5, 2014



WASANII HAWA NDIO WALIO FANYA VIZURI SANA KATIKA FILAMU YA 
"ZERO DONE" NA HIZI PICHA ZOTE NI KATIKA VIPANDE VYA KWENYE FILAMU YA ZERO DONE


KANNI LUFILILI akiwa katika scene

SAIMON MWAPAGATA akiwa katika scene

KANNI LUFFILILI akiwa katika scene

YUSUFU KAIMU NA ULLY MWALULESA picha ya kasha

KHAMIS NURDIN picha ya kasha

KANNI LUFILILI akiwa katika scene

DENIS MLOWE NA KHAMIS NURDIN wakiwa katika scene

HALIMA MADIWA NA KHAMIS NURDIN wakiwa katika scene

KHAMIS NURDIN akiwa katika scene

DENIS MLOWE akiwa katika scene

SAIMON MWAPAGATA NA HALIMA MADIWA wakiwa katika scene

HALIMA MADIWA akiwa katika scene 

HALIMA MADIWA akiwa katika scene

KANNI LUFILILI NA KHAMIS NURDIN wakiwa katika scene

HALIMA MADIWA akiwa katika scene

YUSUFU KAIMU NA ULLY MWALULESA  wakiwa katika scene

KHAMIS NURDIN NA YUSUFU KAIMU, ULLY MWALULESA wakiwa katika scene

KHAMIS NURDIN