PUNDE KUINGIA MTAANI

MIALE SANAA GROUP KUJA NA FILAMU IITWAYO 990 WAMEKUFA TOKA IRINGA

ASANTE KWAKUTEMBELEA UKURASA WETU

PATA HABARI MBALIMBALI ZAFILAMU ZILIZOKO MTAANI NAZIJAZO HAPA

ASANTE KWAKUTEMBELEA UKURASA WETU

JISKIE HURU KUA NASI

ASANTE KWAKUTEMBELEA UKURASA WETU

UNGANA NASI HAPA KILA WAKATI

ASANTE KWAKUTEMBELEA UKURASA WETU

SANA NISEHEMU MUHIMU YAMAISHA YA MWANADAMU KILASIKU. UNGANA NASI HAPA KILA SIKU KUPATA HABARI MBALI MBALI ZASANAA

Sunday, December 15, 2013

Rais wa Tanzania Dkt Jakaya kikwete leo akihutubia kwenye shughuli maalum ya mazishi ya Nelson Mandela huko qunnu, eastem cape afrika kusini. Rais kikwete amesema tanzania imepoteza rafiki mkubwa, Rais pia amewakumbusha uhusiano mkubwa uliopo kati ya tanzania na afrika kusini
hapa wakiwa wanausindikiza mwili wa Nelson mandela wakiwa tayali wamesha uwaga na kuuombea 

Saturday, December 14, 2013

hatimae mlatibu wa miale sanaa group apata pigo jingine leo ukiachana na pigo alilo lipata alipo ibiwa sendo studio wakati tumeenda kulekodi wimbo ilitakiwa atoke gangilonga hadi miyomboni peku baati nzuri alipewa sendo zlizo chakaa ambazo ziliachwa kuvaliwa ili zi mstili msada huo aliupata kwa nely zemodo, leo yamkuta mengine nakujikuta hawezi kufanya mazoezi kutokana na timu yake kufungwa 6 kwa 3 timot john ambae anajulikana kwa jina la sila au mzuru kijana alie tikisa katika filamu ya "990 WAMEKUFA" ambae pia ni mlatibu wa kikundi cha miale sanaa group asema hatokuja kusahau matukio haya mawili yaliyo mkuta hivi karibuni

Thursday, December 12, 2013

 Video ya mazoezi ya kikundi cha miale sanaa group ijumaa iliyo pita

 Video ya mazoezi ya kikundi cha miale sanaa group ijumaa iliyo pita

 Video ya mazoezi ya kikundi cha miale sanaa group ijumaa iliyo pita

mkurugenzi wa miale sanaa group Khamis Nurdin amfukuza kwenye kikundi msanii wake Junior mwaipopo kutokana na utovu wa nizamu Khamis   Nurdin alisema ingawa kipaji cha msanii huyo yeye ndie alie kiona na kumchukua na kuanza kumtengeneza katika sanaa nakufanikiwa kumshilikisha katika filamu ya kwanza ambayo ndiyo iliyo mtambulisha msanii huyo filamu hiyo inaitwa "ZERO DONE" ambayo iliwashilikisha wasanii kama pembe, senga, pacho mwamba, kampto rado na wengine wengi khamis anasema baada ya kutoka filamu hiyo kijana hoyo kaanza kubadilika siku hadi siku akiitwa kufanya mazoezi hafiki kwa wakati anafika anvyo taka yeye naamekua mchonganishi kati ya wasanii na mkurugenzi wa kikundi aliweza kuwaeleza wasanii kuwa khamis nurdin ambae nimkurugenz wa kundi kuwa alienda bungeni akachangiwa pesa na viongozi wote wa bungeni kitu ambacho si chakweli Khamis anasema kijanahuyo ingawa alimuahidi kumsaidia katika sanaa sasa ahadi hiyo anaivunja nakusema hawezi kumsaidia tena kwani kutokana na zarau zake zakujiona yeye staa zimemponza hata kuboronga katika filamu mpya inayo kwenda kwa jina la "990 WAMEKUFA"  khamis nurdin amemaliza na kusema hatuitaji msamaha wowote kutoka kwa msanii huyo na kuwa sihi wa sanii wengine wenye tabia kama hiyo achanenayo kwani haiwezi kuwafikisha mbali kisanaa.

mkurugenzi wa miale sanaa group amkanya msanii wake joseph haule aache tabia kwenda mazoezini akiwa amelewa kwani aibu ya mazoezi haiyondoki kwa pombe na amemsistiza endapo atarudia kosahilo atachukuliwa hatua za kishelia, ila tumeweza kuongea na joseph mwenyewe amekili kufanya kosa hilo na ameahidi kuto rudia na amehahidi kumfata khamis nurdin ambaendio mkurugenzi wake kumuomba msamaha kwa yale yalio tokea, joseph nae nimmoja kati ya washiliki walio cheza katika filamu mpya ya miale sanaa group inayokwenda kwa jina la "990 WAMEKUFA"