mkurugenzi wa miale sanaa group amkanya msanii wake joseph haule aache tabia kwenda mazoezini akiwa amelewa kwani aibu ya mazoezi haiyondoki kwa pombe na amemsistiza endapo atarudia kosahilo atachukuliwa hatua za kishelia, ila tumeweza kuongea na joseph mwenyewe amekili kufanya kosa hilo na ameahidi kuto rudia na amehahidi kumfata khamis nurdin ambaendio mkurugenzi wake kumuomba msamaha kwa yale yalio tokea, joseph nae nimmoja kati ya washiliki walio cheza katika filamu mpya ya miale sanaa group inayokwenda kwa jina la "990 WAMEKUFA"
0 comments:
Post a Comment