PUNDE KUINGIA MTAANI
MIALE SANAA GROUP KUJA NA FILAMU IITWAYO 990 WAMEKUFA TOKA IRINGA
ASANTE KWAKUTEMBELEA UKURASA WETU
PATA HABARI MBALIMBALI ZAFILAMU ZILIZOKO MTAANI NAZIJAZO HAPA
ASANTE KWAKUTEMBELEA UKURASA WETU
JISKIE HURU KUA NASI
ASANTE KWAKUTEMBELEA UKURASA WETU
UNGANA NASI HAPA KILA WAKATI
ASANTE KWAKUTEMBELEA UKURASA WETU
SANA NISEHEMU MUHIMU YAMAISHA YA MWANADAMU KILASIKU. UNGANA NASI HAPA KILA SIKU KUPATA HABARI MBALI MBALI ZASANAA
Tuesday, November 19, 2013
Sunday, November 17, 2013
10:46 PM
No comments
BREAKING NEWS:Watu7 wafariki dunia hapo hapo na wengine wa5 kujeruhiwa baada ya gari aina ya Noah kugongana uso kwa uso na lori la mizigo maeneo ya Dakawa mkoani Morogoro
Sunday, November 10, 2013
KIOTA ART PRODUCTIONS
7:46 AM
No comments
Ni
kampuni ya utayarishaji Filamu mkoani Iringa na Tanzania kwa ujumla
inayopatikana mjini Iringa mkabala na soko kuu la Iringa.
Mbali
na utayarishaji wa Filamu, Kiota inajisughulisha na Uongozaji wa
filamu, uandishi wa script, Usimamizi wa mandhali na Sakafu pamoja na
kufanya post Production kwa ujumla.
Aidha
Kiota inatoa huduma za upigaji picha katika shughuli mbalimbali kama
vile arusi, kitchen part, kipaimara, misiba, makongamano, semina,
mikutano na vikao mbalimbali.
Pia tunapiga picha za passport size na huduma zote za Stationery kwa gharama nafuu.
Wasiliana nasi kwa Simu namba:-
0754 439740
0715 439740 au
Email: shamkis@gmail.com
7:44 AM
No comments
Monday, November 4, 2013
9:06 PM
No comments
8:52 PM
No comments
Eddo Bashil mtangazaji wa redio Ebony hivi karibuni arudi kazini na kwasasa yupo makambako katika shoo za mtikisiko Eddo apokolewa kwa shangwe na mashabiki wake wa makambako na njombe Eddo anasema haamini kilichotokea makambako hakutegemea kama angepokelewa namnahiyo Eddo pichani akitoa mkono kumpa shabiki wake alie vaa kofia yenye rangi nyeupe na nyeusi Eddo anasema hana chakuwalipa mashabiki hawo mwenyez mungu pekee ndie atakae walipa Eddo kamaliza nakusema kuwa atajitaidi kadri ya uwezo wake kuwalizisha mashabiki wake katika kazi namwisho anamshukulu mwenyez mungu kwa yote yaliyo tokeaSunday, November 3, 2013
10:36 AM
No comments
Amasha LOrence arudi kwenye gem kimyakimya msanii Amasha hivi karibuni ameanza maandalizi ya kutengeneza filam akishilikiana na swahiba wake kipenzi Khamis Nurdin hivi sasa wapo porini na wasanii wakifanya mazoezi ya filam hiyo Amasha anasema kwamba mashabiki wajiandae kuipokea filam hiyo ambayo itakua ni yakutisha na ndiomana wanaifanyia porini na ametoa sababu ya kumchukua swahiba wake katika filam hiyo nakumuomba kushilikiana nae kwani Khamis Nurdin nimzoefu wa filam za kutisha kwahiyo hajutii kumchukuwa na anaimani itakuwa nzuri sana kazi hiyo
Rems John yupo katika zoezi anacheza kama zombi katika filam hiyo. hizi nipicha zamazoezi jamani filam bado hawajaanza kushuti
msanii Anna akiwa katika zoezi kacheza kama kufa. Inatisha ilembaya kama mazoezitu..... yapo hivi hiyo filam itakuaje












