Khamis Nurdin alaani kitendo kilicho tokea jana juu ya mechi walio cheza kati ya miale sanaa group na jamaika ya ipogoro kwani mechi hiyo iliweza kualibika kutokana na timu ya jamaika kufunga gori la ofsaid refa alivyo sema sio gori wachezaji wa jamaika wakamvamia refa na kuanza kumpiga nikitu ambacho hakijaleta picha nzuri kwa mashabiki walio kuapo na ukizingatiarefa alikua ni wa kwao kwahiyo walitaka watetewe lakini refa alitenda haki waka kasirika na kuanza fujo na mechi ika alibika Khamis anasema hazani kama itakuja tokea tena miale kwenda kucheza kule anasema walifanya mechi hiyo kuwa kama nimoja ya kufaamiana na nisehemu ya burudani na kuweka mili yao safi lakini umetokea ugonvi nikitu ambacho kimemuuma sana na malalamiko hayo ana mtupia Omary msigwa ambae yeye ndie alie waomba miale sanaa group kwenda kwenye mechi na yeye ndie alikua mwenyeji wao ila kilichotokea yeye aliondoka na kuwaacha peke yao nikitu ambacho si kizuri.
PUNDE KUINGIA MTAANI
MIALE SANAA GROUP KUJA NA FILAMU IITWAYO 990 WAMEKUFA TOKA IRINGA
ASANTE KWAKUTEMBELEA UKURASA WETU
PATA HABARI MBALIMBALI ZAFILAMU ZILIZOKO MTAANI NAZIJAZO HAPA
ASANTE KWAKUTEMBELEA UKURASA WETU
JISKIE HURU KUA NASI
ASANTE KWAKUTEMBELEA UKURASA WETU
UNGANA NASI HAPA KILA WAKATI
ASANTE KWAKUTEMBELEA UKURASA WETU
SANA NISEHEMU MUHIMU YAMAISHA YA MWANADAMU KILASIKU. UNGANA NASI HAPA KILA SIKU KUPATA HABARI MBALI MBALI ZASANAA
Sunday, February 9, 2014
Friday, February 7, 2014
1:13 AM
No comments
tazama picha za uzinduzi wa kundi la Ruwaha sanaa group lililopo ndiuka mjini Iringa kundi hili limeanza kazi za sanaa hivi karibuni nawaliwe kulialika kundi la miale sanaa group na kumuomba mkurugenzi wa kundi la miale sanaa group kuwa mgeni rasmi
mkurugenzi wa kundi la Ruwaha aliweza kumueleza mkurugenzi wa kundi la miale sanaa group kuwa wanaomba msaada wake katika kuwasaidia juu ya kuandaa filamu na kuwataftia wadau na kuwatngaza katika sehemu mbalimbali nakuweza kumueleza juu ya matatizo yanayo wakabili
Khamis Nurdin ambae ni mkurugenzi wa miale sanaa group alikubali kuwa saidia katika yale yote waliyoweza kuyasema nakuwa ahidi kuwatangaza katika vyombo vya habari nakuwasaidia katika kuwafundisha nakushilikiana nao katika kutengeneza filamu yao
mkurugenzi wa kundi la miale sanaa group bwana Khamis Nurdin akiwa na kundi la watoto ambao ni mashabiki wake
mkurugenzi wa kundi la miale sanaa group akiwa katika picha ya pamoja na uwongozi wa Ruaha sanaa group
Tuesday, February 4, 2014
9:47 AM
No comments
AFRISWIM BUILDING AND SERVICES Nikampuni inayotengeneza swimin pool ndani ya tanzania na nje ya tanzania katika mahotel na majumba mbalimbali kampuni hii ipo jijini daresalam, hivi karibuni tumepokea taarifa kuwa mkurugenzi wa kampuni ya Afriswim ameungana na mkurugenzi wa miale sanaa group katika kutengeneza filamu ya pamoja ambayo itachezwa katika mkoa wa iringa pamoja na daresalam filamu hiyo ianategemea kuwashilikisha wasanii wakubwa wa tatu pia katika filamu hiyo itaweza kuitangaza rasmi ofisi ya Afriswim ambayo ipo kinondoni gadeni mtaa wa masele.
kwa mawasiliano ya kibiashala piga namba 0713 313958
Monday, February 3, 2014
6:49 AM
No comments
Sunday, February 2, 2014
10:00 AM
No comments
hatimae utata wa kutambishiana kati ya miale na watangazaji wa nuru fm umekatika leo
kutokana na watangazaji wa redio nuru kukubali kichapo cha magori 14 kwa 5 miale sanaa group kipindi cha kwanza iliweza kuifunga timu ya watangazaji wa redio nuru magori 7 kwa 3 nakipindi cha pili miale wakaongeza magori 9 ambayo mawili yalikataliwa nakubaki magori 7 na nuru kutupia tena magori 2 napicha hii ni wachezaji wakiwa wanjani katika wanja wa kisasa uliopo mtwivila mkoani Iringa
tumeweza kuongea na mkurugenzi wa kundi la miale sanaa group bwana Khamis Nurdin kuhusiana na furaha aliyonayo juu ya timu yake kushinda kiukweli alisema yeye hajafurahi sana kutokana na kuwafunga magori mengi timu pinzani kitondo hicho kimemuuma kwani yeye alijipanga vizuri na alikuwa hajisifii kuwafunga nuru wakati nuru walikua wanajisifia kuwa funga miale gori kumi nanuru wamesha cheza mechi tano na kushinda mechi tatu na mbili kufungwa ila miale ndio mechiyao ya kwanza lakini wameibuka naushindi mkubwa msikilize
Khamis Nurdin: kiukweli sijafurahi kabisa kuchukua huu ushindi kutokana na magori tulio yafunga miniliamini na cheza natimu nzuri kutokana na walivyokua wakisema kwamba watanifunga gori kumi nakudai kwamba wao ni wazoefu ila kumbe hamna kitu napia wamshukulu kipa wao walio mwingiza kwa mala yapili ameokea magori mengi sana bila yule kiukweli tunge wafunga hata magori 20 nahata hivyo sikuweza kuwachezesha wa sanii wangu wengine ila kiukweli sijapenda naona kama nimewaonea sana nuru ila kipawao ningekua naweza kumsajili kwangu ninge msajili itabidi nijapange kutafuta timu ilyo imala nijipime nao kiwango maana nuru siwezi kujisifia kuwa ninakiwango hapana siwezi kusema hivyo lazima nitafute timu yenye kiwango nicheze nao nikifunwa ndio ntakubali kuwa mimi bado kiwango
Saturday, February 1, 2014
1:09 PM
No comments
hatimae mechi iliyokua ikisubiriwa kwa hamu kati ya miale sanaa group na watangazaji wa ridio nuru imesha wadia, mechi hiyo itachezwa kesho katika wanja mpya na wakisasa uliyopo mkimbizi jilani na umati ambao hadisasa umewa acha watu midomo wazi kutokana na wanja huo ukichezea na watu nane yani huku wa nne na upande ungine wanne gorikipa anakua wa tano kiukweli watu wanajiuliza sana kuhusiana na uwanja huo lakini ndio hivyo tena umejingwa kwa kiwango chakimataifa na miale pamoja na watangazaji wa nuru wamekubaliana kucheza katika wa nja huo huku wakitambiana vikali nuru wanasema watawafunga miale gori kumi na miale wanasema wao wanaitaji vitendo nasio maneno
picha hii ni baazi ya wanamiale ambao wamefurahi kucheza mechi hii na wa tangazaji wa redio nuru kwani nimoja ya kujenga mausiano mazuri kati ya wasanii na watangazaji na waandishi wa redio mbalimbali
Khamis Nurdin anasema kwamba yeye kajipanga vizuri sana kuhusiana nahii mechi na haitaji maneno sana ila anaitaji vitendo ila nuru lazima wakubari kua watapokea bagori matatu kutoka miale ndivyo anavyo sema Nurdin ambaye ni mkurugenzi wa kundi hilo anamaliza nakusema kwamba wasifikiri kwa sababu wao wamezoe kuigiza wakazani kwenye mpila hawamo lahasha kote wamo
Khamis Nurdin na Daudi masass pamoja na Yassin alafati wakiwa ndani yagari wanaelekea mazoezi kwajili ya kujiandaa na mechi hiyo