PUNDE KUINGIA MTAANI
MIALE SANAA GROUP KUJA NA FILAMU IITWAYO 990 WAMEKUFA TOKA IRINGA
ASANTE KWAKUTEMBELEA UKURASA WETU
PATA HABARI MBALIMBALI ZAFILAMU ZILIZOKO MTAANI NAZIJAZO HAPA
ASANTE KWAKUTEMBELEA UKURASA WETU
JISKIE HURU KUA NASI
ASANTE KWAKUTEMBELEA UKURASA WETU
UNGANA NASI HAPA KILA WAKATI
ASANTE KWAKUTEMBELEA UKURASA WETU
SANA NISEHEMU MUHIMU YAMAISHA YA MWANADAMU KILASIKU. UNGANA NASI HAPA KILA SIKU KUPATA HABARI MBALI MBALI ZASANAA
Saturday, November 30, 2013
11:29 PM
No comments
Khamis Nurdin ni mtoto wa wakwanza upande wa kwa mama yake ambao wapo wawili yeye na mdogo wake yassin na upande wa baba yake yeye ni wakwanza pia ambapo nako kuna wadpgozake 4 Khamis Nurdin amezaliwa rujewa wilaya ya mbalali mkoani mbeya mama yake nimarehemu sasa alifariki akimuacha Khamis akiwa na miaka mitatu na nusu na yassin aliachwa akiwa na mwezi mmoja, mama yake khamis aitwae sauda shaban khamis akiwa hamjuwi baba yake kwani baba yake khamis alimtelekeza mama yake khamis tangu akiwa na ujauzito wa khamis ndipo alipoamua kumsingizia baba mwingine amabae alijitokeza kuwa na mahusiano nae alipo kuja kujifungua ulitokea utata mkubwa sana kati ya mama yake mkubwa wa khamis na mama yake mzazi wa khamis na huyo baba feki wa khamis kwani baba huyo alisema khamis nimwanae huku mama yake mkubwa wa khamis akisema huyo mtoto sio wako kwani hata hafanani nae mama wa khamis alibaki kimya huku akizidi kubugujikwa machozi kwajinsi roho inavyo muuma kwa kumuuza mwanae kwa mtu mwingine baba huyo alifaulu kumchukua khamis na kwenda nae kwake kutokana na mama yake kukubali kua mtoto huyo ni wake mama yake mkubwa wa khamis aliuzunika sana lakini hakuubaliana na lililo tokea akapanga blani ya kwenda kumkomboa khamis wakatihuo mama yake khamis aliamua kuondoka na kwenda mbeya mjini ili kuondoa mawazo aliyo nayo, huku mama yake mkubwa wa khamis akiendelea kifanya michakato ya kumtorosha khamis kutoka kwa yule baba aliweza kufanikiwa kumpata khamis nakumchukuwa kutokana na khamis kuwa mtundu sana alikuwa akifungiwa ndani malakwamala lakini kutokana na utundu wa khamis walishindwa kumzibiti na akachukuliwa na mama yake mkubwa nakupelekwa sehemu nyingine ambapo napo ni kwa mama yake mkubwa mwingine alie kuwa akiishi igawa mkoa wa mbeya,nini kiliendelea khamis alivyo pelekwa igawa..................fatalia jumapili ijayo
9:56 PM
No comments
Ccm yajizolea wanachama 100 pamoja na katibu wa chadema wilaya ya chunya mkoani mbeya ambae pichani ikionyesha kadi ya chadema katibu huyo anae julikana kwajina la Bryson mwasimba kushoto abdurahman kinana ambae ni katibu mkuu wa ccm katibu wa chadema bwana Bryson Mwasimba asama anawaomba msamaha wananchi wote alio wadanganya wakati akiwa katika madaraka yake katika chama cha chadema asema anajuta kukitumikia chadema nasasa hataungana tena na chadema na badala yake kuingia ccm katibu huyo anasema anajiona yupo huru sasa ilivyoingia ccm
8:39 PM
No comments
Mbabe Chrispin Kisinini hivi leo kawa shukulu mashabiki wake wote walio shilikiana nae mwanzo hadi mwisho katika kutengeneza filamu yake mpya iitwayo "THE RETTURN OF KIDNAPPER" napia anawashukuru wote walio msapoti katika uzinduzi anasema hana chakuwalipa zaidi atawalipa mungu, naatazidi kujituma kuwaletea vitu vizuri zaidi, naana waomba muweze kuitafuta filamu hii kwani kwa sasa ipo madukani
Friday, November 29, 2013
8:18 PM
No comments
Vichaa walipewa vipande vya sabuni wakaambiwa kila m1 ampigie mchumba wake, wakaanza kupiganakuongea mmoja akawa amekaa kimya anawaangalia wenzake Doctar akajuwa ameshapona akamuuliza. Doctar: we mbona huongei? Kichaa: Nasubiri saa 4 ifike nijiunge na cheka bombastk. Doctar hoi
Wednesday, November 27, 2013
8:55 PM
No comments
CHEZEA PAKA WEWE? Jamaa alimchukua paka wake na kwenda kumtupa mbali aliporudi nyumbani alimkuta paka amekwisha rudi. jamaa alikasirika sana siku ya pili akamchukua na kwendanae zaidi ya kilometa 50 akapiga chochoro za kutosha kisha akamtupa akaanza safari ya kurudi nyumbani, baada ya muda akampiga simu mkewe, vipi mke wangu huyo paka yupo? MKE: Ndiyo mume wangu tena ametulia hapa kwani imekuwaje? JAMAA: hebu mpe simu anielekeze njia ya kurudi nimepotea.
Tuesday, November 26, 2013
9:32 PM
No comments
Dah! .....USICHEKE.... Jamaa alimkuta kichaa anaandika Barua Ikabidi Amuulize. Unamwandikia nani Barua? kichaa:Najiandikia mwenyewe!! Jamaa: inahusu Nini? kichaa kwa mshangao MKubwa: Heeee! Wewe Mwehu nini, Nitajuwaje wakati bado Barua haijanifikia!!??. Asubuhi njema nduguzanguni
Tuesday, November 19, 2013
10:57 PM
No comments
Sunday, November 17, 2013
10:46 PM
No comments
BREAKING NEWS:Watu7 wafariki dunia hapo hapo na wengine wa5 kujeruhiwa baada ya gari aina ya Noah kugongana uso kwa uso na lori la mizigo maeneo ya Dakawa mkoani Morogoro
Sunday, November 10, 2013
KIOTA ART PRODUCTIONS
7:46 AM
No comments
Ni
kampuni ya utayarishaji Filamu mkoani Iringa na Tanzania kwa ujumla
inayopatikana mjini Iringa mkabala na soko kuu la Iringa.
Mbali
na utayarishaji wa Filamu, Kiota inajisughulisha na Uongozaji wa
filamu, uandishi wa script, Usimamizi wa mandhali na Sakafu pamoja na
kufanya post Production kwa ujumla.
Aidha
Kiota inatoa huduma za upigaji picha katika shughuli mbalimbali kama
vile arusi, kitchen part, kipaimara, misiba, makongamano, semina,
mikutano na vikao mbalimbali.
Pia tunapiga picha za passport size na huduma zote za Stationery kwa gharama nafuu.
Wasiliana nasi kwa Simu namba:-
0754 439740
0715 439740 au
Email: shamkis@gmail.com
7:44 AM
No comments
Monday, November 4, 2013
9:06 PM
No comments
8:52 PM
No comments
Eddo Bashil mtangazaji wa redio Ebony hivi karibuni arudi kazini na kwasasa yupo makambako katika shoo za mtikisiko Eddo apokolewa kwa shangwe na mashabiki wake wa makambako na njombe Eddo anasema haamini kilichotokea makambako hakutegemea kama angepokelewa namnahiyo Eddo pichani akitoa mkono kumpa shabiki wake alie vaa kofia yenye rangi nyeupe na nyeusi Eddo anasema hana chakuwalipa mashabiki hawo mwenyez mungu pekee ndie atakae walipa Eddo kamaliza nakusema kuwa atajitaidi kadri ya uwezo wake kuwalizisha mashabiki wake katika kazi namwisho anamshukulu mwenyez mungu kwa yote yaliyo tokea
Sunday, November 3, 2013
10:36 AM
No comments
Amasha LOrence arudi kwenye gem kimyakimya msanii Amasha hivi karibuni ameanza maandalizi ya kutengeneza filam akishilikiana na swahiba wake kipenzi Khamis Nurdin hivi sasa wapo porini na wasanii wakifanya mazoezi ya filam hiyo Amasha anasema kwamba mashabiki wajiandae kuipokea filam hiyo ambayo itakua ni yakutisha na ndiomana wanaifanyia porini na ametoa sababu ya kumchukua swahiba wake katika filam hiyo nakumuomba kushilikiana nae kwani Khamis Nurdin nimzoefu wa filam za kutisha kwahiyo hajutii kumchukuwa na anaimani itakuwa nzuri sana kazi hiyo
Rems John yupo katika zoezi anacheza kama zombi katika filam hiyo. hizi nipicha zamazoezi jamani filam bado hawajaanza kushuti
msanii Anna akiwa katika zoezi kacheza kama kufa. Inatisha ilembaya kama mazoezitu..... yapo hivi hiyo filam itakuaje
Saturday, November 2, 2013
9:29 PM
No comments
Msanii Masanja wa Iringa leohi wameungana na Magumashi kwajili ya kupiga shoo kabambe vijijini msanii Masanja ambae nimtata katika kuigiza sauti tofauti tofauti na iliompa umaarufu ni sauti ya Masanja na nyingine ya Kingwendu, msanii huyo anasema shoo hiyo itakuwa ni bamkubwa kutokana na maandalizi walio jipanga nayo
9:19 PM
No comments
Msanii Magumashi anaejulikana kuwa nimtata katika shilikisho la filam mkoa wa Iringa kila anapoonekana yeye katika kikao watu wote humtizama yeye kwani malanyingi hupingana na wenzie katika maamuzi, hivi karibuni wameungana na Masanja wa Iringa ambae huwa anaigiza sauti tofauti tofauti hasa iliompa umaarufu nisauti ya Masanja na nyingine ya Kingwendu, wamekubaliana kwa pamoja kupiga shoo kabambe katika vijiji vyote mkoa wa Iringa