PUNDE KUINGIA MTAANI
MIALE SANAA GROUP KUJA NA FILAMU IITWAYO 990 WAMEKUFA TOKA IRINGA
ASANTE KWAKUTEMBELEA UKURASA WETU
PATA HABARI MBALIMBALI ZAFILAMU ZILIZOKO MTAANI NAZIJAZO HAPA
ASANTE KWAKUTEMBELEA UKURASA WETU
JISKIE HURU KUA NASI
ASANTE KWAKUTEMBELEA UKURASA WETU
UNGANA NASI HAPA KILA WAKATI
ASANTE KWAKUTEMBELEA UKURASA WETU
SANA NISEHEMU MUHIMU YAMAISHA YA MWANADAMU KILASIKU. UNGANA NASI HAPA KILA SIKU KUPATA HABARI MBALI MBALI ZASANAA
Thursday, December 26, 2013
Saturday, December 21, 2013
9:21 PM
No comments
Sunday, December 15, 2013
9:03 PM
No comments
msanii Leah Mhema a.k.a Betty arudi kuungana tena na miale sanaa group tokea alipokuwa anaumwa anasema anamshukulu mwenyez mungu kwa kumponya na kumpa nguvu tena na uzima wa kuungana tena na kundi lake hilo ambalo ni kwamuda mrefu hakuweza kuwanalo
Betty ingawa nimeambiwa kiwango changu kimeshuka kutokana na muda mrefu sijaweza kufanya mazoezi naamini kuanzia sasa kiwango changu kitarudi nanitakuwa imala naninawashukulu wana miale walio kuwa wanakuja kuniona bila kumsahau mkurugenzi wangu pamoja na mlatibu wangu nawengine pia naomba mwalimu wangu khamis nurdin anikazanie katika kunifundisha nami nitajitaidi kuwa makini kwa kile nacho fundishwa

10:03 AM
No comments
SAMAHANI KWA USUMBUFU ULIO JITOKEZA WAKUTO ENDELEZA SIMLIZI YA STORI YA KHAMIS NURDIN KWANI MTANDAO ULIKUWA UNASUMBUA NA SASA UMEKAA VIZURI LEO TUNAENDELEA TULIPO ISHIA WIKI ILIYOPITA
Khamis nurdin aliishi kwa mama yake mkubwa hapo igawa huku mama yake mkubwa alie mleta aliludi rujewa khamis aliishi igawa kwa mama yake huyo mkubwa ambaye pia alikuwa anawatoto wawili mapacha ambao niwadogo kwa khamis majukumu ya kuwalea watoto hao aliachiwa khamis kiukweli ulikuwa nimtihani sana kwake kwani aligeuzwa kuwa mfanyakazi wandani hukuakiwa na umli mdogo sana khamis alilia sana wakati anaanza kutumikishwa kazi nailikuwa nimzigo kwake kwani alikua haelewi chochote alianza kutumikishwa kazi zandani kama kufagia kupiga deki kukosha vyombo kumwagilia miti kuchota maji kuwa safisha watoto kila wanapo jisaidia kwakila siku zinavyo zidi kwenda akawa anaambiwa aendeshamba kumwagilia na kulima vitunguu na karanga ikafikia kipindi akaambiwa aanze kuuza chenga za mchele barabarani nailikuwa nikawaida kupigwa fimbo na baba yake mkubwa mme wa mama yake mkubwa kila siku anapo rudi khamis hakuelewa kwanini anafanyiwa hivyo ilifikia kipindi mapacha hao wakifanya kosa anapigwa khamis wakiiba mboga au kitu chochote anashikwa khamis anafungwa majani mikononi anachomwa moto kunakipindi khamis alikataa kufanya kazi yeyote mlendani alijipa likizo akaambia hakuna kula kuanzia asubuhi hadi kesho yake atakapo amua kufanya kazi alichinjwa bata aliliwa huku khamis anaangalia hakuna alie muonea huruma khamis hakujali hilo alitoka kuelekea barabarani akakutana na mtoto kashika miambili ya noti katumwa kununua mafuta ya taa na maziwa ya mgando khamis alichua ilehela nakumnunulia maziwa yule mtoto hela nyingine akala maandazi mtoto kuludi kwa anaulizwa mafuta yapo wapi anashindwa kusema ikibidi achukuliwe hadi dukani alipo nunua kufika kuuliza kwa mwenye duka akaambiwa ukweli kuwa osama ndio alie mnunulia mtoto huyu maziwa na hela nyingine akala maandazi khamis alikuwa anaitwa osama jina lautani walilompa mtaani kutokana na utukutu wake basi walivyo ambiwa hivyo wakatoka hadi kwa kina osama (khamis) wakawakuta wazazi wake walezi wakawashtakia ikibadi ilipwe ile hela kidogo osama (khamis) anaingia kiukweli alipigwa sana usiku ule alilala akiugulia maumivu alfajili akaamka nakwenda msikitini akaludi akafanya kazi zote akaenda shule kuludi mchana hakukuta chakula zaidi ya kukuta wamemuandalia mchele akauze akachukuwa akaondoka kwenda kuuza kiukweli alikuwa nimjanja sana alikuwa akiesabiwa lita zamchele anazo enda kuuza ila yeye kunauhuni alikuwa anaufanya katika lita ili apate nayeye hela ya kula alianza kumiliki hela akiwa mdogo sana naalikuwa nimtu mwenye bahati sana ya kuokota hela nakipindi hicho vitu kama maandazi pipi navingine vinauzwa shintano hakuna siku ambayo ilimuuma khamis kima siku aliyo ambiwa aende kumwagilia bustani na mama yake mkubwa aliambiwa akikuta maji mengi asimwagilie akikuta machache amwagilie ulivyo fika shamba akakuta maji mengi akaacha kumwagilia anapo ludi anakutana na mtoto wa baba yeke mkubwa mwingine katumwa kumfata anafika nyumbani mama yake mkubwa anamwambia lalachini piga pushapu na baba yake mkubwa akaenda kukata fimbo kwajili ya kumchapia khamis kama unavyo juwa mungu si asumani katika kukata fimbo alijikata katika mkono bila yeye kujijuwa kihasikwamba alijichimba katika mfupa nahakuweza kugundua chochote huku khamis akimuuliza mama yake mkubwa kwani nimekosa nini hadi nipigwe mama yake akamjibu nikwajili umeenda shamab khamis akasema lakini wewe ndie ulie niambia niende baba yake mkubwa akawa kashafika akaanza kumchapa khamis huku na yeye khamis akimuuomba mungu kiukweli fimbo zile haikumuuma hata moja baba yake mkubwa alishangaa kuona khamis halalamiki anavyo chapwa na akajikuta damu zina mtoka mkononi namfupa kulia katika mkono wake alitupa fimbo hapohapo nakwenda huspitili nini kitaendelea wiki ijayo......................

7:05 AM
No comments
Saturday, December 14, 2013
10:51 AM
No comments
Thursday, December 12, 2013
10:57 AM
No comments
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiKTB079UL9DQGYF9cnG7Ox98ZM-vhJw052C4pFACQgQF8-YPIq7vF6jU4raCgsKSBZVQjefp-FHwKq3p638Cbzm4PWuAjrX3RoYqv3TBoADvMIaw2PytAabfVFfubfB2S4satuDGPtPe_N/s320/junnior.jpg)
10:49 AM
No comments
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgkjiI6RUwGcreOLaep8Hkk_RzsqIa52R1QEi_mLF11NLQ-W13b2infd6ovw0S6vP9Q1MpOJciayjSuH5Awwz7iTtUZLxlawrK16WxUqrsgpP_oUR6cHYg3ldkGb5kEC40fEYz0h7PAgMDS/s320/josefu.jpg)
Sunday, December 1, 2013
8:46 PM
No comments
10:12 AM
No comments
Saturday, November 30, 2013
11:41 PM
No comments
11:29 PM
No comments
Khamis Nurdin ni mtoto wa wakwanza upande wa kwa mama yake ambao wapo wawili yeye na mdogo wake yassin na upande wa baba yake yeye ni wakwanza pia ambapo nako kuna wadpgozake 4 Khamis Nurdin amezaliwa rujewa wilaya ya mbalali mkoani mbeya mama yake nimarehemu sasa alifariki akimuacha Khamis akiwa na miaka mitatu na nusu na yassin aliachwa akiwa na mwezi mmoja, mama yake khamis aitwae sauda shaban khamis akiwa hamjuwi baba yake kwani baba yake khamis alimtelekeza mama yake khamis tangu akiwa na ujauzito wa khamis ndipo alipoamua kumsingizia baba mwingine amabae alijitokeza kuwa na mahusiano nae alipo kuja kujifungua ulitokea utata mkubwa sana kati ya mama yake mkubwa wa khamis na mama yake mzazi wa khamis na huyo baba feki wa khamis kwani baba huyo alisema khamis nimwanae huku mama yake mkubwa wa khamis akisema huyo mtoto sio wako kwani hata hafanani nae mama wa khamis alibaki kimya huku akizidi kubugujikwa machozi kwajinsi roho inavyo muuma kwa kumuuza mwanae kwa mtu mwingine baba huyo alifaulu kumchukua khamis na kwenda nae kwake kutokana na mama yake kukubali kua mtoto huyo ni wake mama yake mkubwa wa khamis aliuzunika sana lakini hakuubaliana na lililo tokea akapanga blani ya kwenda kumkomboa khamis wakatihuo mama yake khamis aliamua kuondoka na kwenda mbeya mjini ili kuondoa mawazo aliyo nayo, huku mama yake mkubwa wa khamis akiendelea kifanya michakato ya kumtorosha khamis kutoka kwa yule baba aliweza kufanikiwa kumpata khamis nakumchukuwa kutokana na khamis kuwa mtundu sana alikuwa akifungiwa ndani malakwamala lakini kutokana na utundu wa khamis walishindwa kumzibiti na akachukuliwa na mama yake mkubwa nakupelekwa sehemu nyingine ambapo napo ni kwa mama yake mkubwa mwingine alie kuwa akiishi igawa mkoa wa mbeya,nini kiliendelea khamis alivyo pelekwa igawa..................fatalia jumapili ijayo
9:56 PM
No comments
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgquXfXwVJhT1XqZ61yKSAiRj-JavjaLw39P6CspWJ0rsjJgL5pJXONkT0nHmoiE1OS8TnxBU656_WoE1_OQ-89V0WD6vz_dmKmjJO82hpGqkxRkqNf4jaTCfpzzmJEGE0tGBXQy2r1pg0X/s320/1.+Bryson+Mwasimba+kutoka+Chadema+akionyesha+kadi+ya+chadema.jpg)
8:39 PM
No comments
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgZJ5tX4My0AyknihaNf1UBLNjoHUahVfTpqSZms_BWeWMFagc2LANIov8WBPfZzE2b0gOOqzmj1mHRgU1kORad2L-2WKEak55oI_kzz950Yrr72A8Sm-XYTW8Q60HPmbx_tNlI6Eh1MJZX/s320/1471884_383708358431761_906347238_n.jpg)
Friday, November 29, 2013
8:18 PM
No comments
Vichaa walipewa vipande vya sabuni wakaambiwa kila m1 ampigie mchumba wake, wakaanza kupiganakuongea mmoja akawa amekaa kimya anawaangalia wenzake Doctar akajuwa ameshapona akamuuliza. Doctar: we mbona huongei? Kichaa: Nasubiri saa 4 ifike nijiunge na cheka bombastk. Doctar hoi
Wednesday, November 27, 2013
8:55 PM
No comments
CHEZEA PAKA WEWE? Jamaa alimchukua paka wake na kwenda kumtupa mbali aliporudi nyumbani alimkuta paka amekwisha rudi. jamaa alikasirika sana siku ya pili akamchukua na kwendanae zaidi ya kilometa 50 akapiga chochoro za kutosha kisha akamtupa akaanza safari ya kurudi nyumbani, baada ya muda akampiga simu mkewe, vipi mke wangu huyo paka yupo? MKE: Ndiyo mume wangu tena ametulia hapa kwani imekuwaje? JAMAA: hebu mpe simu anielekeze njia ya kurudi nimepotea.
Tuesday, November 26, 2013
9:32 PM
No comments
Dah! .....USICHEKE.... Jamaa alimkuta kichaa anaandika Barua Ikabidi Amuulize. Unamwandikia nani Barua? kichaa:Najiandikia mwenyewe!! Jamaa: inahusu Nini? kichaa kwa mshangao MKubwa: Heeee! Wewe Mwehu nini, Nitajuwaje wakati bado Barua haijanifikia!!??. Asubuhi njema nduguzanguni
Tuesday, November 19, 2013
10:57 PM
No comments
Sunday, November 17, 2013
10:46 PM
No comments
BREAKING NEWS:Watu7 wafariki dunia hapo hapo na wengine wa5 kujeruhiwa baada ya gari aina ya Noah kugongana uso kwa uso na lori la mizigo maeneo ya Dakawa mkoani Morogoro
Sunday, November 10, 2013
KIOTA ART PRODUCTIONS
7:46 AM
No comments
Ni
kampuni ya utayarishaji Filamu mkoani Iringa na Tanzania kwa ujumla
inayopatikana mjini Iringa mkabala na soko kuu la Iringa.
Mbali
na utayarishaji wa Filamu, Kiota inajisughulisha na Uongozaji wa
filamu, uandishi wa script, Usimamizi wa mandhali na Sakafu pamoja na
kufanya post Production kwa ujumla.
Aidha
Kiota inatoa huduma za upigaji picha katika shughuli mbalimbali kama
vile arusi, kitchen part, kipaimara, misiba, makongamano, semina,
mikutano na vikao mbalimbali.
Pia tunapiga picha za passport size na huduma zote za Stationery kwa gharama nafuu.
Wasiliana nasi kwa Simu namba:-
0754 439740
0715 439740 au
Email: shamkis@gmail.com
7:44 AM
No comments
Monday, November 4, 2013
9:06 PM
No comments
8:52 PM
No comments
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEibqTUqrrmZmfus9spMH3vxiFQ8pQspJ2ZNnm5c9zbGFk7d872WLztNmmzcIaBjH_-rmLpDrU2QHKcefJ81MZF71fT5-bz156SkGpViSQlkWflPxrzFVCnqEwWYRu5KmEuqOkz4ztMCK8P8/s320/edo+bashil.jpg)
Sunday, November 3, 2013
10:36 AM
No comments
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhYj2UhVIWbmJOhS3SijScEzZYl1bHXfhz4TcRWQOfgVydc_LZv4H7DxklTwwDynEo9VyLnOtfK3IKe_AP-yMBs6btJs1jkYo54pA0DFbaINLtj3_hXkzsjKqtKQoPt6f68wao1QEp0Ndt2/s320/Amasha.jpg)
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg-jSEQeVBYRTiSUcdvoUQIxaiaRJOf7fs83Q46BfGNzHwVIbi7G3-7k1fqYTkWfBmuUhaRdS7_qeNtyZF-AveOQLGwdHQxkd_mTIXQ9bwVWhaN8j_7cVEXITlOb4NpzAcLHxWAkxdRj9sJ/s320/lv02.bmp)
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgwKxUFMl2Zxjr_CtJo_pT0p50wI8VNlIMrTOkzLf3cChiRQCNom7HIasqDSudgeTcedraj4HiCpUJyKiqu7S_gVkxD6qkYOemuwJrNjr1MEz7oXP5sgN6nnhZU9Mxl4xBvydpXGreKTUH4/s320/lv22.bmp)
Saturday, November 2, 2013
9:29 PM
No comments
9:19 PM
No comments
Wednesday, October 30, 2013
2:42 PM
No comments
Tuesday, October 29, 2013
11:27 AM
No comments
Monday, October 28, 2013
3:00 AM
No comments